Watu wawili wamikatwa vichwa katika wilaya ya Chiúre

25 October, 2022

Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 25,oktoba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

🔸 Watu wawili wamikatwa vichwa katika wilaya ya Chiúre.

🔸 Mashambulize kwenye eneo la uchimbaji kulazimisha kusimamiswa kwa kampuni ya uchimbaji ya Ruby.

🔸 Zaidi ya wakimbizi 10 wamenufaika na hati ya utambulishaji.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,Telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani,na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:htts://iono.fm/1237536.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down