Majeshi wa Mozambique na wa Rwanda wanawafatilia Magaidi huko Nampula

9 May, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Majeshi wa Mozambique na wa Rwanda wanawafatilia Magaidi huko Nampula

🔸 Magaidi walioauwa na Majeshi wa Rwanda wilaya ya Mocimboa da Praia

🔸 Watu waliokimbia makazi yao walalamikia ukosefo wa ardhi wilaya ya Metuge.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Medida Habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down