Magaidi washambulia kisiwa cha matemo wilayani ibo

18 March, 2022
Membros da forca conjunta de Mocambicanos e Ruandeses marcaram natal na vila de Mocimboa da Praia

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,18,2022 tunayo mambo muhimo yafuatoyo.

🔸Magaidi washambulia kisiwa cha matemo wilayani ibo

🔸BAD imeidhinisha Dola za Merkani milioni 1.4 kusaidia wakimbizi na watu waliokimbia makazi yao .

🔸Bandari ya Mocimboa da Praia ilyotembelewa na mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa kampuni ya total energies .

Endelea kupata habari za Cabo kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.org au kutoka kwa kurasa zetu za facebook,cheneli ya telgram,na programa yoyote ya podcast.

Pokea habar za kila siku kwenye whatsapp kwa kutuma ujumbe kwenda +2558843285766 kisha uchague lugha yako kireno,emakwa.shimakonde,kimuani au kishahili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down