Wanagambo wa Nangade wanataka silaha na risasi

18 February, 2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Ijuma fabruari,18,2022.

Katika mada ya Leo.

🔸Rwanda yangoza eneo la usalama.

🔸Watu waliohamishwa wakichagua kukaa ndani mji wa mecula.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.ong au kurasa wetu wa Facebook cheneli ya telegram na popote unapopata podcast yako.

Unaweza kupokea habari za kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down