Vikosi vya ndani vywakamata waasi wawili huko Nangade.

29 December, 2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 29,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Magaidi wa tano waliwapiga risasi katika kijiji cha chitoio huko macomia.

🔸Vikosi vya ndani vywakamata waasi wawili huko Nangade.

🔸Kesi name za ubakaji zimesajiliwa katika kituo cha wakimbizi huko Metuge.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

,

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down