Família zilizo kusini mwa Mocimboa da Praia ziliamia makao makuu ya wilaya kutokana na tishio la kishambulizi

5 October, 2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.Oktoba.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Kamanda mkuu wa Police anasema Kuna usalama wa makampuni ya mafuta kurejea Cabo Delgado.

🔸 Mradi wa INP unasema ExxonMobil unaweza kurejesha shughuli Huko Palma.

🔸 Família zilizo kusini mwa Mocimboa da Praia ziliamia makao makuu ya wilaya kutokana na tishio la kishambulizi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down