Rwanda watuma kikosi kipya Cabo Delgado

17 May, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 17.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Rwanda watuma kikosi kipya Cabo Delgado

🔸 Human Right watch inashutumu ushiriki wa watoto katika shambulio la Macomia

🔸 Magaidi hutumia Da'wah kuzumguza na watu.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down