SAMIM inawasilisha nyenzo za kijeshi Kwa majeshi wa Mozambique

30 April, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Cabo Ligado inasasisha data ya Juu ya vifo katika shambulio la Palma mnamo 2021

🔸 SAMIM inawasilisha nyenzo za kijeshi Kwa majeshi wa Mozambique

🔸 Mkuu wa wilaya ya Erati akanusha kuwa a kulikuwa na shambulio la kigaidi katika wilaya hiyo.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down