Jamii za Muidumbe na Nangade zimeshambuliwa tena upya na magaidi

30 August, 2022

Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Jumanne hii Agosti 30,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸Wanajeshi watatu na raia wawili wameuawa huko wilaya ya Meluco.

🔸 Njaa inawatia wasiwasi wakimbizi walioko Nacala-Porto nkoa wa Nampula.

🔸Jamii za Muidumbe na Nangade zimeshambuliwa tena upya na magaidi.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, chaneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Kipindi hiki kimetengenezwa na Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down