Nyenzo zisizo za kuuwa kutoka Kwa Jumuya ya ulaya zinaweza kuwasili mwishoni wa muaka

7 May, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07 Mei,2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Nyusi asema ugaidi hauwezi kuhalalisha kukatizwa miradi ya Gesi

🔸 ADIN inachagua makampuni ya watu binafsi kuwa washirika huko Cabo Delgado, Niassa na Nampula

🔸 Nyenzo zisizo za kuuwa kutoka Kwa Jumuya ya ulaya zinaweza kuwasili mwishoni wa muaka.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down