Habari potofu kuhusu kipindupidu imisababisha vifo vinne Huko Chiure

21 December, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.12.23.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Ureno inatetea mwendelezo wa misheni ya mafunzo ya umoja wa ulaya

🔸 Habari potofu kuhusu kipindupidu imisababisha vifo vinne Huko Chiure

🔸 Polísi waliohitimu hivi majuzi walhimizwa kupambana na uhualifu na ugaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org .

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down