Majeshi wa SADC wapeleka vifaa vya wakitumila kwa Madjesh wa Msumbiji

30 April, 2024

Karibuni nafassi ya Shauty ya Cabo Delgado, tareh 30.04.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Cabo Ligado watangaza Vifo baada ya vita ya Palma muaka 2021

🔸 Majeshi wa SADC wapeleka vifaa vya wakitumila kwa Madjesh wa Msumbiji

🔸 Administrator wa Eráti akatala kuwepo matokeo a vita ya mashababi


Zidini kuphata habari za mana za Cabo Delgado, kwa njila ya website www.avoz.org ema kwa ukurassa wa Facebook, njila za Telegrama ema novyo kwa podcast, ema kwa ujuzi wa Internet avoz.org

Sikiliza habari kamba ezi kwa luga djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila juma-anne na alkhamissi kwa kutumila +258 843285766, ncaty ya kuzungu, kimakuwa, kimakonde, Kimwani na Kijojo.

Plural Média- ndi habari kwa lugha yenu.

Intro text in Kimawani

Lorem ipsum

Za kufyomiwa pakula

magnifierchevron-down