Bado akuna usalama katika maeneo yaliokombolewa huko Cabo Delgado mtafiti anabainisha

26 May, 2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 26,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Bado akuna usalama katika maeneo yaliokombolewa huko Cabo Delgado mtafiti anabainisha.

🔸Unyanyasaji wa Kijeshi dhdi ya raia umetawala Kisiwani Pemba .

🔸Wakaguzi wa polisi wanachunguza madai dhidi ya Majeshi wa UIR huko Macomia

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pkeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au Kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down