TotalEnergies inashutumiwa kwa uzembe wakati wa shambulio la kigaidi Huko Palma mnamo 2021

12 October, 2023
Director de TotalEnergies em Mocambiqeu, Maxime Raubillard

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 12.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 TotalEnergies inashutumiwa kwa uzembe wakati wa shambulio la kigaidi Huko Palma mnamo 2021

🔸 Mocimboa da Praia imezinduliwa bandar na uwanja wa ndege

🔸 Kupambana na ugaidi kanahitaji mwingiliano kati ya taasisi za utafiti kijasusi na usalama.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down