Mocimboa da praia akuna mazingira ya wasajili ya wapigakura

6 April, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 06, April 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Mocimboa da praia akuna mazingira ya wasajili ya wapigakura.

🔸 Marekani inachapisha Mkakati wa utulivu ncnhini Msumbiji.

🔸 Idadi ya watu inarudi vijijini Kando ya Bárabara N380.


Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Ligado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avor.org.

Unaweza kupata pia habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha yako,kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down