Magaidi wamewaua watu 16 na kuharibuzaidi ya nymba 1000 huko Namuno kati ya Oktoba na Novemba 2022
Habari gani ,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Wafanyakazi katika mgodi wa ruby Uko Montepuez wamegoma tangu jumatatu,
🔸 Magaidi wamewaua watu 16 na kuharibu
zaidi ya nymba 1000 huko Namuno kati ya Oktoba na Novemba 2022,
🔸 Ukiukwaji wa haki za binadamu ncnhini Msumbiji uliongezeka Kutokana na vita kaskazini, imisema gazeti la amnesty internacional.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata pia habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yoko kati ya kireno,kimakowa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Média habari Kwa lugha yako