Kukamatwa kwa wafanyabiashara kinyume cha Sheria, bado kunatia wasiwasi Nangade.

13 April, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 13 April 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Msumbiji inapaswa kutoa mafunzo Kwa haraka Kwa watalamu wakulinda uzalishaji wa gesi.

🔸 Kukamatwa kwa wafanyabiashara kinyume cha Sheria, bado kunatia wasiwasi Nangade.

🔸 Balozi wa umoja wa ulaya anazumgzia hali ngumu sana ya kibinadamu uko Cabo Delgado.


Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na grogram yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.

Unaweza kupata pia habari izi kupitia WhatssAp kila siku ya Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakode, kimuani ma kiswahili.

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down