Hali ya kutokewepo katika maeneo ya kurudi Kwa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado

2 March, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 02,machi 2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema kuwa magaidi waliwaua zaidi ya watu 1000 ncnhini Msumbiji .

🔸 PNUD imetenga euro milioni 19 kwa ajili ya kurejesha Cabo Delgado.

🔸 Hali ya kutokewepo katika maeneo ya kurudi Kwa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.


Pata habri kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram,na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.

Unaweza pia kupata habri izi kupitia WhassAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habri kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down