Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi

23 April, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi

🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya Ancuabe

🔸 Frelimo yasaidia wanagambo kwa pesa na bidhaa.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down