Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure

25 April, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure

🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu ya Macomia na Oasse

🔸 Zaidi ya wanafunzi 1500 bila ya Masomo katika kisiwa chá Quirimba.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha Yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down