Raisi Filipe Nyusi anatowa wito wanajeshi kufanya 2022 mwaka wa mwisho wa magaidi.

3 January, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 03,2022, sauti,ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Raisi Filipe Nyusi anatowa wito wanajeshi kufanya 2022 mwaka wa mwisho wa magaidi.

🔸Vikosi vya ulinzi vinawakamata magaidi wawili wadogo.

🔸Zaidi ya jumuiya 100 za kaskazini zitanufaika na mradi wa jumuiya ndogo ndogo wa Japan.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25883285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down