Watu wawili waliuawa katika mapigano kati ya Majeshe na magaidi katika wilaya ya Macomia

15 December, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 15,Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Chama Renamo wanalani uungaji mkono wa umoja wa ulaya kwa vikosi vya Rwanda huko Cabo Delgado.

🔸 Watu wawili waliuawa katika mapigano kati ya Majeshe na magaidi katika wilaya ya Macomia .

🔸 Vijana 419 wamefunzwa kozi za ufundi-kitaaluma huko Cabo Delgado


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down