Viongozi wa kidini wanakata tena Mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado

6 January, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 06,2022, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Msumbiji inatarajia kurefusha kwa misheni
ya SADC huko Cabo Delgado.

🔸Viongozi wa kidini wanakata tena Mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado.

🔸Wanajeshi wanatishia watu waliokimbia makazi yao na kuatoza pesa huko Mueda.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down