Takribani wanajeshi 25 wa Mozambique wauwawa katika wilaya ya Macomia

13 February, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Takribani wanajeshi 25 wa Mozambique wauwawa katika wilaya ya Macomia

🔸 Ukosefu wa usalama unaongezeka kutokana na mashambulizi Huko Cabo Delgado

🔸 Kamanda wa Polisi wa Cabo Delgado anatoa wito wa kuwa macho katika kitongogi chá Paquitequete.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down