Sauti Ya Cabo Delgado 21.10.2021

21 October, 2021

Habar yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

????Visa 3400 vya kipindupindu vimisajiliwa katika kambi ya wakimbizi inaripoti kamati ya kimataifa ya Cruz vermelha.

????Vikosi vya ulinzi viliwakamata raia 60 wakiwa njiani kuelekea Palma na wengine 150 wakidaiwa kuhusishwa na magaidi .

????Vikosi vya SADC vinateka magaidi wengine watano.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down