Sauti Ya Cabo Delgado 20.10,2021

20 October, 2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 20,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

????USAID inafadhili miradi mitatu uko Cabo Delgado.

????Dawa ya kuchoma iliyokamatwa katika eneo linalokaliwa na magaidi.

????Punguza visa vya kuharisha uko Mecufe.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down