SAMIM imethibitisha kujiondoa Huko Cabo Delgado Hadi Júlai

1 February, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 01.Februari.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 INGD taasisi ya kitaifa ya kudhibiti na kupunguza hatari za majanga inatafuta wasaidizi Kwa familia zilizohamishwa hivi majuzi

🔸 SAMIM imethibitisha kujiondoa Huko Cabo Delgado Hadi Júlai

🔸 Rais Nhusy aonya magaidi watakuwa na siku ngumu Wasipojisalimisha.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down