PNUD imetoa Dola za Marekani 66 kwa ajili ya wilaya zilizoathirika.

22 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Novemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Wanainchi wamiama kijiji cha nguida bahada ya shambulio jipya la Magaidi.

🔸 Mashilika la watu binafsi wanaitaji uidhinishaji wa hazina ya uhuru kwa njia ya mapato ya gesi.

🔸 PNUD imetoa Dola za Marekani 66 kwa ajili ya wilaya zilizoathirika.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssaAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down