Mkutano wa kilele wa SADC, ambao utajadili kuka kwa wanajeshi hao mji wa Cabo Delgado umiahirisha hadi wiki ijiayo

7 January, 2022

Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 07,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado.

Zifuatazo ni mahada ya habari.

🔸Mkutano wa kilele wa SADC,ambao utajadili kuka kwa wanajeshi hao mji wa Cabo Delgado umiahirisha hadi wiki ijiayo.

🔸Mashambulizi ya kigaidi yanazamisha familia huko Macomia na meluco.

🔸Msimamizi wa Dayosisi ya Pemba anasema mashambulizi kaskazini
mwa Cabo Delgado hayawezi kuhusihwa na dini.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati kireno,Emakwa,Shimakonde, kimuani,au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down