Mashambulizi mawili ya kigaidi yarirejodiwa huko Cabo Delgado mwanzoni mwa muaka

4 January, 2022

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari,04,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za.

🔸Mashambulizi mawili ya kigaidi yarirejodiwa huko Cabo Delgado mwanzoni mwa muaka.

🔸Meli ya Coral Sul inawasili kwenye Magi ya Cabo Delgado.

🔸Tatizo la maji linaathiri zaidi ya watu 300.000 katika wilaya ya Mueda.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down