Mashambulizi mapya yalazimisha kufunga shule 40 wilaya ya Chiure

7 March, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Mashambulizi mapya yalazimisha kufunga shule 40 wilaya ya Chiure

🔸 Tume ya uchaguzi yakikisha sensa ya Jimbo Zima la Cabo Delgado

🔸 Watoto 72 wamepoteya huko Cabo Delgado baada ya Mashambulizi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down