Majeshi wa Magi watangaza kwamba pwani ya Cabo Delgado haina magaidi.

17 December, 2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 17,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Majeshi wa Magi watangaza kwamba pwani ya Cabo Delgado haina magaidi.

🔸Magaidi waua mtu katika kijiji cha Nova Zambezia.

🔸Balozi wa urusi atoa maoni yeka kuhusu maendeleo katika mapambano dhidi ya magaidi huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down