Magaidi washambulia kijiji cha Nova Zambezia n
8 December, 2021
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December, 08, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Magaidi washambulia kijiji cha Nova Zambezia na kumua mtuu mmoja.
🔸Uchunguzi wa mkoa uliofanyika Cabo Delgado.
🔸Kampuni ya Royal group inatoa jozi 800 za slippers kwa wakimbizi.
Endelea kupata habari za mkoa uliofanyika Cabo Delgado kupitia kurasa Facebook telegram Na program yoyote podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.