Magaidi wachoma Lori na kuongeza hofu wilaya ya chiure

23 February, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.02.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Wafanyabiashara wa Cabo Delgado wahofia kuongezeka kwa uvamizi wa magaidi

🔸 Magaidi wachoma Lori na kuongeza hofu wilaya ya chiure

🔸Nyusi asema magaidi walijalibu kuajiri Vijana na watoto wilaya ya Chiure.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down