KOIKA na mpago wa chakula duniani kujiunga na juhudi za kusaidia watu waliokimbia

27 February, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 27.02.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 ExxonMobil yaahaidi kufazili Cabo Delgado.

🔸 KOIKA na mpago wa chakula duniani kujiunga na juhudi za kusaidia watu waliokimbia.

🔸 Wazir mkuu asema hakuna pesa za kutosha kusaidia watu waliokimbia.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down