Kilo 80 za madawa ya kulevia zilikamatwa maeneo mbalimbali huko Cabo Delgado

4 April, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 04 Aprili 2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Botswana wametangaza kikosi kipya chá kijeshi chá Cabo Delgado.

🔸 Magaidi 20 wamekamatwa Mocimboa da Praia na Jeshi lá wanyerwanda.

🔸 Kilo 80 za madawa ya kulevia zilikamatwa maeneo mbalimbali huko Cabo Delgado

Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata pia hanari izi kupita whatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa, kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down