Magaidi sita wamikamatwa na majeshi la wenyeji wilaya ya Muidumbe

26 January, 2023
Foto: Ministério do Interior de moçambique

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 26,januari,2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Kuna watu zaidi na zaidi wanarejea maeneo yao ya asili huko Cabo Delgado.

🔸 Rais anaonya juu ya upanuzi wa ugaidi kwa mikoa yote.

🔸 Magaidi sita wamikamatwa na majeshi la wenyeji wilaya ya Muidumbe.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno,kimakuwa.kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down