Kuna wakimbizi zaidi 11.000 walioko Nampula

13 September, 2022
Rádio Moçambique

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgasdo mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili.

Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Jumanne hii,septemba13,2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Kuna wakimbizi zaidi 11.000 walioko Nampula.

🔸Kijana kapigwa lisasi na wanajeshi wilayani Nangade.

🔸Serekali inatarajia Kuanza tena shuguli za kampuni ya mafuta huko Afungi.


Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yeru ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down