Zaidi ya watu 2.000 wamikimbia mashambulizi katika wilaya ya Muidumbe

24 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 24,Novemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Ntego wa kigaidi umemuua muanachama mkuu wa Police wa Palma.

🔸 Zaidi ya watu 2.000 wamikimbia mashambulizi katika wilaya ya Muidumbe .

🔸 Wavuvi 20 wamipoteya wilaya ya Mocimboa da Praia.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokokeya habar za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural Media hanari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down