Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe
🔸 Semu ya Macomia na Awasse balabala 380 imefunguliwa tena
🔸 Cabo Delgado inaterejia kuuza zaidi ya bidhaa milioni moja tofauti.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari Izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde,Kimuani, na kiswahili.
Plural Média habari Kwa lugha Yako.