Wavuvi wawili wamitekwa nyaran na magaidi huko Quiterajo wilaya ya Macomia

23 March, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 23 Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu

🔸 Jumuiya ya wafanyabiashara inalalamika mikataba ya ujenze kwenda Kwa watu wa inje.

🔸 Wavuvi wawili wamitekwa nyaran na magaidi huko Quiterajo wilaya ya Macomia.

🔸 ONU inazinkatia umasikini na ukosefu wa agira kama sababu ya kuajiri uwasi huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhuso mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Faceboo,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza pia kupata habar izi kipitia watssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down