Watu kupata miili wakati wakijaribu kujenga upya nymba.

,
10 February, 2022

Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 10,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Umoja wa ulaya kufadhili wanajeshi wa Rwanda na SADC nchini Msumbiji.

🔸Angola inasisitiza kuendelea kuinga mkono Msumbiji katika Vita dhidi ya ugaidi huko Cabo Delgado.

🔸Watu kupata miili wakati wakijaribu kujenga upya nymba.

🔸ACNUR inatenga misaada kwa watu wenye ulemavo huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down