Vifo viwili vyathibitishwa katika shambulio la Mitope Mocimboa da Praia

9 March, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 09,Machi 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Vifo viwili vyathibitishwa katika shambulio la Mitope Mocimboa da Praia.

🔸 Watu wanaoshukiwa kuwa magaidi wamekamatwa Muidumbe.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcasts au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.Org.

Unaweza pia kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down