Mashambulizi yalazimisha kufungwa Office name za IPAJ

13 March, 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 CDD inadai uwajibikaji kutoka Kwa Namparas Kwa uhalifu dhidi ya mawakala wa kitengo Cha uchaguzi

🔸 Mashambulizi yalazimisha kufungwa Office name za IPAJ

🔸 Waasi waondoka Quissanga baada ya wiki Moja baadaye.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down