Kuna nvutano kati ya askari na wanagambo huko Miengueleua wilaya ya Muidumbe.

25 April, 2023
Foto: Ministério do Interior de moçambique

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Harakati za ajabu zinarekodiwa kusini wilaya ya Ancuabe.

🔸 Kuna nvutano kati ya askari na wanagambo huko Miengueleua wilaya ya Muidumbe.

🔸 CDD imechapisha ripoti juu ya kukabilina na itikadi Kali Kali huko Cabo Delgado.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakowa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Média habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down