Jeshi hawajavunjika moyo licha lá shambulio la hivi punde la kigaidi anasema wazili wa Mozambique

21 September, 2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,September ,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Zaidi ya nusu ya wasichana Huko Cabo Delgado wenye umuri wa miaka 15 na
19 tayari wamepata mimba.

🔸 Jeshi hawajavunjika moyo licha lá shambulio la hivi punde la kigaidi anasema wazili wa Mozambique.

🔸 Shilika la misaada ya chakula Duniani linajutia kupunguzwa Kwa msaada wa chakula Huko Cabo Delgado kutokana na ukosefu wa  fhedha.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down