Gavana wa Cabo Delgado anazumgza kuhusu changamoto mpya na kuimarishwa kwa Salama

27 April, 2023

Habar gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Umoja wa ulaya wamewawekeya vikwazo watu binafsi kwa kuhusishwa na ugaidi na ukiukaji haki za binadamu.

🔸 Jibu la maelezo ya CDD yasioyoratibiwa Kwa itikadi kali katika Cabo Delgado.

🔸 Gavana wa Cabo Delgado anazumgza kuhusu changamoto mpya na kuimarishwa kwa Salama.


Pata habri kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa Zetu za Facebook, telgram,na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakowa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yoko.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down