Shambulio jipya la kigaidi wameuawa watu wawili katika wilaya ya Namuno

8 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Novemba,2022. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

🔸 Shambulio jipya la kigaidi wameuawa watu wawili katika wilaya ya Namuno.

🔸 Magaidi wanaua uko Meluco na Nangade.

🔸 Mwandishi wa habari anakashifu ali mbaya katika jela ya PRM wilayani Balama.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pakeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +28843285766 kisha uchahue lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa: https://iono.fm/e/1237536

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down