Zaidi ya watu elfu moja ambao wamekimbilia katika Jimbo la Niassa wanaitaji nsaada wa dharura.

15 November, 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 15,Novemba,2022 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Mambo muhimo kwa sasa.

🔸 Tayari Ges imebebwa mara yakwanza katika bonde la Rovuma Jumapili hii.

🔸 Zaidi ya watu elfu moja ambao wamekimbilia katika Jimbo la Niassa wanaitaji nsaada wa dharura.

🔸 Masskofu wa kanisa la kikatoliki wamesema matumizi ya nguvu za kijeshi sio suluhu pekee huko Cabo Delgado.


Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:https://iono.fm/e/1237536

Plural media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down