Watu huko Ancuabe wanantendeya mabaya kijana mmoja kwa tuhuma za kuhusishwa kuwa kikosi cha magaidi

16 February, 2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Februari,2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

🔸 Magaidi wamewaua majeshi tano katika shambulizi huko Nairoto.

🔸 ACNUR inajutia ukosefu wa fedha na ufikaji mgumu wa maeneo ya Cabo Delgado.

🔸 Watu huko Ancuabe wanantendeya mabaya kijana mmoja kwa tuhuma za kuhusishwa kuwa kikosi cha magaidi.


Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast,au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.

Unaweza pia kupata habari izo kupitia whatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendela kireno,kimakuwa,kimakode,kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.

Zilizosomua sana

magnifierchevron-down